”Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi na kusheherekea tukio hili muhimu kwa Watanzania hususani wananchi wa kanda ya z…

”Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi na kusheherekea tukio hili muhimu kwa Watanzania hususani wananchi wa kanda ya ziwa la uzinduzi rasmi wa daraja la John Pombe Magufuli yani Kigongo Busisi, Mh Mwenyekiti kukamilika kwa daraja kutakuwa ni faraja ya wakazi wa kanda ya ziwa ambao wamekuwa wakitumia muda wa takribani masaa mawili kwa kuvuka upande mmoja kwenda upande mwingine“ Mh. Abdalah Ulega waziri wa Ujenzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *