“Kufunga mfumo wa kielektroniki ambao unawezesha magari kupimwa kwenye mizani bila kuwa na operator (human intervention). Hadi sasa, mizani 20 ya kupima magari yakiwa kwenye mwendo (Weigh-in-Motion) imefungwa katika vituo vya mizani vya Vigwaza, Mikese, Mikumi, Wenda, Mpemba, Nala, Njuki, Kimokouwa, Dakawa na Rubana,” – Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania