#HABARI: “Mahitaji ya juu ya umeme katika Mkoa mzima wa Tabora ni megawati 28 na uwezo wa kuzalisha umeme Mkoa wa Tabora umefika…

#HABARI: “Mahitaji ya juu ya umeme katika Mkoa mzima wa Tabora ni megawati 28 na uwezo wa kuzalisha umeme Mkoa wa Tabora umefika megawati 85.6, Tabora inaziada ya umeme ya megawati 57.5 ” – Mhe. Dkt. Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wakati akizindua kiwanda cha kutengeneza nguzo za Zege – Tabora.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *