#HABARI: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 05 Mei, 2025 kushiriki vikao vya Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo leo atawasilisha Mpango na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026.
Waziri Ulega amefuatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi, Godfrey Kasekenya.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania