Israel yazitaka Uhispania, Ireland na Norway ziwachukue na kuwapatia makazi Wapalestina wa Ghaza

Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema nchi za nchi za Ulaya ambazo zilipinga hatua ya kijeshi ya utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Ghaza zinapaswa kuwapatia makazi Wapalestina watakaohama katika eneo hilo.