Israel yawaachia huru wafungwa wa Kipalestina, baada ya Hamas kuwaachialia mateka wa Israel huko Gaza

Israel inasema Alexander Troufanov, Yair Horn na Sagui Dekel-Chen – ambao walitekwa katika mashambulizi ya Oktoba 7 – sasa wako na jeshi la Israeli.