Israel ‘yaumbuka’ baada ya vidio kufichua ukweli halisi kuhusu mauaji ya wahudumu 15 wa tiba

Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza mwezi uliopita, inasuta na kukinzana na madai yaliyotolewa na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusu namna mauaji ya wahudumu hao yalivyotokea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *