Israel yatishia kumuua kigaidi Khalid Mashaal

Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel ametoa vitisho kwamba utawala huo wa Kizayuni utamuua kigaidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Ughaibuni ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS), Khaled Mash’al.