Israel yapokea miili ya mateka wanne walioshikiliwa na Hamas huko Gaza

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel imesema miili ya mateka wanne imefikishwa kwa majeshi ya Israel huko Gaza.