Israel yapigwa na makombora kutoka Yemen, ving’ora vyahanikiza

Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimevurumisha makombora kuelekea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel, na kuwatia kiwewe na hofu Wazayuni; huku safari za ndege zikisimamishwa Tel Aviv.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *