Utawala haramu wa Israel umempiga marufuku mkurugenzi wa Msikiti wa Ibrahimi ulioko katika mji wa al-Khalil, Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, kuingia katika eneo hilo takatifu la Kiislamu kwa zaidi ya wiki mbili, huku utawala huo ukiendeleza mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya Wapalestina na maeneo yao matakatifu.
Related Posts
Rais wa Marekani anataka kunyakua Ukanda wa Gaza
Katika taarifa isiyo na mfano wake na ya ghafla, Rais wa Marekani amesema mbele ya Waziri Mkuu wa Israel huko…
Katika taarifa isiyo na mfano wake na ya ghafla, Rais wa Marekani amesema mbele ya Waziri Mkuu wa Israel huko…
Amiri wa Qatar awakutanisha viongozi wa DRC na Rwanda huku mvutano ukishadidi
Amiri wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amewaleta pamoja viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na…
Amiri wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amewaleta pamoja viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na…
Vikosi vya Kiukreni havijajiandaa kwa upinzani wa Urusi katika Mkoa wa Kursk – kamanda wa Chechen
Vikosi vya Kiukreni havijajiandaa kwa upinzani wa Urusi katika Mkoa wa Kursk – kamanda wa ChechenApty Alaudinov alibainisha kuwa vifaa…
Vikosi vya Kiukreni havijajiandaa kwa upinzani wa Urusi katika Mkoa wa Kursk – kamanda wa ChechenApty Alaudinov alibainisha kuwa vifaa…