Israel yakiri kufanya makosa kuhusiana na mauaji ya madaktari Gaza

Jeshi la Israel limekiri kuwa wanajeshi wake walifanya makosa katika mauaji ya wafanyikazi 15 wa dharura kusini mwa Gaza mnamo tarehe 23 Machi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *