Israel yafanya mashambulio 20 dhidi ya Syria, makali zaidi kushuhudiwa tangu ulipoanza mwaka 2025

Duru za habari zimeripoti kuwa, usiku wa kuamkia leo, utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya mashambulio yasiyopungua 20 ya anga dhidi ya viunga ya mji  mkuu wa Syria Damascus, Dara’a, na Hama yakiwa ndio makali zaidi dhidi ya nchi hiyo tangu ulipoanza mwaka huu wa 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *