Israel yaamuru jeshi kuandaa mpango wa kuwaruhusu wakazi wa Gaza kuondoka

Maagizo hayo yanakuja kufuatia tangazo la Trump kwamba Marekani inapanga kuichukua Gaza, na kuwapeleka Wapalestina wanaoishi huko sehemu nyingine.