Israel kuunda ‘wakala wa kuwafukuza’ Wapalestina Gaza

Wizara ya Vita ya Israel imesema ipo mbioni kuunda chombo mahsusi cha utawala huo wa Kizayuni cha kushughulikia eti “kuondoka kwa khiari” raia wa Palestina kutoka Gaza.