Israel inawatesa mateka wa Palestina hadi dakika ya mwisho kabla ya kuachiliwa huru

Mara tu basi la kwanza lililobeba Wapalestina walioachiliwa huru lilipowasili Ramallah, Wapalestina sita walioachiliwa huru wamepelekwa haraka hospitalini kutokana na hali zao kuwa mbaya sana.