Israel imewaua wanahabari 219 wa Palestina Gaza ndani ya miezi 19

Maafisa wa Palestina wamesema kuwa, wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi takriban waandishi wa habari 219 na wafanyakazi wa vyombo vya habari tangu vita vya mauaji ya halaiki ya utawala huo kuanza katika Ukanda wa Gaza zaidi ya miezi 19 iliyopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *