Israel imeua zaidi ya Wapalestina 150 tangu usitishaji vita ulipoanza kutekelezwa Ghaza Januari 19

Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Ghaza imetangaza kuwa, zaidi ya Wapalestina 150 wameuliwa shahidi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel- tangu makubaliano ya kusitisha mapigano yalipoanza kutekelezwa katika eneo hilo Januari 19 mwaka huu-, wakiwemo 40 waliouawa katika kipindi cha wiki mbili zilizopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *