Israel imefanya mashambulio ya makombora nchini Iran usiku wa kuamkia leo, ambapo imewaua wakuu wa vikosi mbalimbali vya ulinzi vya Iran.
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema taifa lake litajibu mapigo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi