Israel: Hatusitishi mashambulizi mpaka Wapalestina wafukuzwe Gaza; Syria igawanyishwe

Waziri wa fedha mwenye misimamo ya kuchupa mipaka wa Israel, Bezalel Smotrich anasema utawala huo wa Kizayuni utasitisha tu uvamizi wake Gaza wakati “mamia ya maelfu” ya Wapalestina watalazimishwa kuyahama makazi yao; na Syria igawanyishwe vipande vipande.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *