IRGC yatoa onyo kwa maadui kwamba iko kwenye ‘kilele cha utayari wa pande zote’ wa kijeshi

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa tamko kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 46 wa kuasisiwa kwake kwamba liko kwenye utayari wa kiwango cha juu kabisa cha utekelezaji operesheni za kjeshi, likisisitizia dhamira yake isiyotetereka ya kuilinda Jamhuri ya Kiislamu na kukabiliana na adui yeyote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *