IRGC yajibu vitisho vya US: Iran ipo tayari kwa senario yoyote

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran iko tayari kwa hali yoyote ile, wakati huu ambapo Marekani inatoa vitisho vya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya nchi hii, akisisitiza kwamba maadui watafedheheshwa wakijaribu kuingia katika makabiliano na Jamhuri ya Kiislamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *