Iravani: Tuhuma zisizo na msingi za US zinazidi kudhihirisha sera zake za kiuadui dhidi ya Iran

Amir Saeed Iravani, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran na akasema: “tuhuma hizi zisizo na msingi kwa mara nyingine tena zinazidi kudhihirisha sera za uadui za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *