Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein ameonya kuhusu kushadidi harakati za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi jirani ya Syria, kufuatia kuanguka kwa serikali ya Rais Bashar al-Assad mwishoni mwa mwaka jana.
Related Posts
Pande hasimu Sudan zatakiwa kulinda usalama wa raia
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imezitaka pande hasimu nchini Sudan kulinda usalama wa raia na kurahisisha kufikiwa na…

Watu 89 wauawa katika mashambulizi ya RSF Omdurman, Sudan
Raia wasiopungua 89 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye vijiji…

Israel ‘yaumbuka’ baada ya vidio kufichua ukweli halisi kuhusu mauaji ya wahudumu 15 wa tiba
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…