Iran yazionya nchi jirani: Jihadharini na ufitinishaji na ufarakanishaji wa Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia tuhuma zilizotolewa na viongozii wa Marekani kuhusiana na kuiwekea mashinikizo Iran na akasema: “invyotarajiwa, nchi jirani na marafiki zitajihadhari na ufitinishaji na ufarakanishaji unaofanywa na Marekani”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *