Iran yazindua satalaiti 3 za Navak-1, Pars-1 iliyoboreshwa, na Pars-2

Iran imezindua satalaiti tatu mpya wakati wa hafla iliyofanyika leo Jumapili kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali.