Iran yazindua meli mpya zilizoundwa na wazawa kwa ajili ya ulinzi wa pwani

Iran imezindua meli 10 za walinzi wa pwani na meli za uongozaji wakati wa ziara ya Rais Masoud Pezeshkian katika mji wa bandari wa Ghuba ya Uajemi wa Bushehr hapa nchini.