Iran yaunga mkono ‘mazungumzo ya jadi’ na mataifa ya Ghuba ya Uajemi

Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesisitiza haja ya kufanyika mazungumzo ya dhati na jadi kati ya Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi, akiyaeleza mazungumzo hayo kama msingi wa utulivu katika eneo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *