Iran yatangaza ongezeko la watumiaji wa intaneti ya kasi ya simu za mkononi

Iran imeripoti ongezeko zaidi la idadi ya watumiaji wa intaneti ya kasi ya simu za mkononi (mobile broadband) huku ikifanya juhudi za kuboresha huduma zinazotolewa na mtandao wake wa intaneti wa kasi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *