Iran yataka kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi wa “D-8”

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran anayeshughulikia dipmomaia ya uchumi amesisitiza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya wanachama wa Jumuiya ya Nchi Nane Zinazostawi za Kiislamu (D-8).