Iran yasisitiza kuwa uwezo wake wa kiulinzi na kijeshi hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema, uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa na kuzungumziwa.