Katika mkutano wa ngazi ya juu wa Kundi la Marafiki wa Kulinda Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliofanyika Moscow, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisheria na kimataifa, Kazem Gharibabadi, amesisitiza umuhimu wa kufufua mfumo wa kimataifa wa pande nyingi (multilateralism) na kulinda misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
Related Posts
Wanachuo wa Iran waendeleza maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Wanafunzi, maprofesa, wahadhiri na wafanyakazi wa Vyuo Vikuu vya mikoa ya Ardabil na Khorasan Kusini wamefanya maandamano ya kulaani ghasia…
Wanafunzi, maprofesa, wahadhiri na wafanyakazi wa Vyuo Vikuu vya mikoa ya Ardabil na Khorasan Kusini wamefanya maandamano ya kulaani ghasia…
Ayatullah Seddiqi: Uwekezaji kwa ajili ya uzalishaji utastawisha nchi
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, uzalishaji ni mhimili wa ustawi wa maisha ya watu…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, uzalishaji ni mhimili wa ustawi wa maisha ya watu…
Israel ‘yaumbuka’ baada ya vidio kufichua ukweli halisi kuhusu mauaji ya wahudumu 15 wa tiba
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…