Iran yasema Afrika itakuwa kitovu cha uchumi wa dunia

Msemaji wa Serikali Iran amesema Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika utafanyika wiki ijayo sambamba na Maonyesho ya Saba ya Uwezo wa Biashara ya Nje ya Iran.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *