Iran yalalamikia vikali azimio la Baraza la Haki za Binadamu la UN

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Geneva amekosoa vikali kupitishwa kwa azimio la kupinga Iran katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, akilitaja kuwa ni kitendo cha kibaguzi na kinachopunguza itibari wa baraza hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *