Iran yalaani vikali vitisho vya Trump vya mashambulizi ya kijeshi

Iran imelaani vikali vitisho vya hivi karibuni vya Rais wa Marekani, Donald Trump, vya kuishambulia nchi hii kijeshi ambapo ameviitaja kuwa ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na misingi ya Hati ya Umoja wa Mataifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *