Iran yalaani jinai za kivita za Marekani nchini Yemen

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei amelaani vikali wimbi la mashambulizi ya jeshi la Marekani katika muda wa saa 24 zilizopita katika maeneo mbalimbali ya majimbo ya Sana’a, Saada, na Al-Jawf nchini Yemen, yakilenga miundombinu na maeneo ya makazi ya Yemen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *