Iran yalaani hujuma ya Marekani dhidi ya Yemen, yamuonya Trump

Iran imekemea kwa nguvu madai ya hivi karibuni yaliyotolewa na viongozi wa juu wa utawala wa rais wa Marekani Donald Trump na kuyataja kuwa ni “yasiyo na msingi” kabisa huku ikilaani mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *