Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel

Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan; hususan katika sikukuu za Idul-Fitri, na kutaka hatua zichukuliwe dhidi ya ukiukaji wa haki zinazofanywa na utawala huo ghasibu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *