Iran yaizamisha China kwenye mashindano ya Asia, yaingia Kombe la Dunia la Futsal kwa Wanawake 2025

Timu ya taifa ya wanawake ya futsal ya Iran imemaliza katika nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Kombe la Asia kwa Wanawake la Futsal la AFC 2025 nchini China, na kufuzu kwa mara ya kwanza kushiriki Kombe la Dunia la Wanawake la Futsal la FIFA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *