Iran yaionya Israel; Shambulio lolote la kijeshi litajibiwa

Katika ujumbe wa kijasiri, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekashifu juhudi za “kinjozi” za Israel za kuishurutisha Tehran na kuonya kwamba, shambulio lolote la kijeshi dhidi ya taifa hili litajibiwa mara moja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *