Iran yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watu wa Al-Fasher, Sudan

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amebainisha wasiwasi wake juu ya hali mbaya ya kibinadamu ya watu wa mji wa Al-Fasher uliozingirwa huko Sudan, na ametaka kuondolewa kwa mzingiro huo, kusitishwa kwa mashambulizi, na kulindwa kwa maisha ya raia kwa mujibu wa misingi ya sheria za kimataifa za kibinadamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *