Shirika la vifaa vya matibabu la Hilal Nyekundu la Iran lenye makao yake mkoani Al Borz, Alkhamisi, Nivemba 11, 2024 limeanza kuzipelekea vifaa vya tiba nchi nane tofauti za bara la Afrika.
Hapa chini tumeweka baadhi ya picha ya maandalizi ya zoezi hilo













