Iran: Vikwazo vipya vimefichua unafiki wa Washington

Iran imelaani vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Paknejad na baadhi ya taasisi na meli zinazohusika na mauzo ya nje ya mafuta ya nchi hii na kusisitiza kuwa, vikwazo hivyo ni ithibati ya “ukiukaji wa sheria na unafiki” wa Washington.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *