Iran: Utawala wa Kizayuni ndio kizuizi pekee cha Asia Magharibi kuwa eneo lisilo na silaha za nyuklia

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio kizuizi pekee kwa Asia Magharibi kuwa eneo lisilo na silaha za nyuklia, akionya kwamba utawala huo unaoikalia ardhi kwa mabavu unachochea chuki dhidi ya Iran huku wenyewe ukiendelea mauaji ya kimbari katika eneo hili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *