Iran: Urutubishaji urani ‘haujadiliki’, mazungumzo chini ya mashinikizo hayatakuwa na tija

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema urutubishaji wa madini ya urani ukiwa ni sehemu ya mpango wa amani wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu “haujadiliki” na kwamba mazungumzo ya Tehran na Washington hayatazaa matunda ikiwa yatafanyika kwa mashinikizo na bila ya pande mbil kuheshimiana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *