Iran: Tuko imara! Hakuna mtu anayeweza hata kufikiria kuanzisha vita dhidi yetu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: “Majeshi na serikali yetu tumeijengea nchi kinga ya kutosha kiasi kwamba hakuna hata mtu anayeweza kufikiria kuanzisha vita dhidi ya Iran.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *