Iran na Marekani zahitimisha duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana mjini Muscat

Duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani, ambayo yamefanyika Muscat, mji mkuu wa Oman kwa uratibu wa serikali ya nchi hiyo, imemalizika kama ilivyopangwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *