Iran na Marekani kuzungumza kwa njia isiyo ya moja kwa moja nchini Oman

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, na mjumbe wa Marekani katika masuala ya Asia Magharibi, Steve Witkoff, wanatarajiwa kushiriki katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yatakayofanyika siku ya Jumamosi katika mji mkuu wa Oman, Muscat.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *