Iran na Malaysia zasisitiza kuimarisha zaidi ushirikiano

Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Malaysia wamesisitiza azma ya nchi zao ya kuimarisha Zaidi uhusiano na ushirikiano katika mbalimbali.