Iran na China ni ngome isiyoweza kupenywa na vikwazo vya Marekani

Wizara ya Fedha ya Marekani imezidisha mashinikizo dhidi ya Tehran kwa kukiwekea vikwazo kiwanda cha kusafisha mafuta cha China kwa madai ya kununua mafuta ya Iran. Hata hivyo, takwimu zinaonyesha kuwa si tu vikwazo hivyo havijazuia mauzo ya mafuta ya Iran, bali pia vimezidisha ushirikiano wa kiuchumi na kijiografia kati ya Iran na China.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *